Vision

Kuwa klabu bora ya mpira wa miguu katika Mkoa wa Mara na moja ya klabu inayoongoza kwa kukuza vipaji vya vijana wilayani, mkoani mpaka kitaifa.

Club Values

  • Nidhamu
  • Umoja
  • Heshima
  • Kujituma
  • Uzalendo
Rorya United Football Club